CHAKULA CHA MTAMA
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2022

Author(s) : Taasisi ya Utafiti Kilimo Tanzania (TARI) Kituo cha Ilonga

Kipeperushi hiki kitasaidia kuongeza thamani ya zao la mtama itakayopelekea kuongeza kipato kwa wakulima. Teknolojia mbalimbali za utengenezaji wa chakula cha mtama umeelezewa kwa ufasaha na kwa lugha rahisi zaidi.