KILIMO BORA CHA CHOROKO
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2022

Author(s) : Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)

Choroko ni zao la jamii ya mikunde. Faida kubwa ya zao hili ni:

  • Chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama
  • Hupunguza umasikini kwani zao hili ni chanzo mapato kwa kaya
  • Hurutubisha udongo

Ili kujipatia mazao mengi na bora ya choroko zingatia maelezo yaliyomo kwenye kipeperushi hiki.