KILIMO BORA CHA ULEZI
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2023

Author(s) : Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)

Ulezi (Eleusine coracana) ni zao la nafaka lenye uwezo wa kustahimili ukame hivyo huweza kulimwa maeneo yenye mvua chache. Zao la ulezi linafaa kuzalishwa kama zao la chakula kuziba mazao mengine ambayo yanaathiriwa na ukame unaosababishwa na mabadiriko ya tabia nchi.Ulezi ni zao muhimu siyo tu kwa chakula bali pia kwa kuinua kipato cha wakulima na wajasiriamali