KILIMO BORA CHA UWELE
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2023

Author(s) : Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)

Uwele (Pennisetum glaucum) ni zao la nafaka lenye uwezo  mkubwa  wa kustahimili ukame. Uwele unavirutubusho kwa wingi, ikiwa ni chanzo kizuri cha madini ya chuma na vitamini B. Lakini pia una protini na nyuzinyuzi nyingi kuliko mahindi.Hivyo kuwa na manufaa mengi kwenye lishe.Kwa maelezo zaidi tafadhali pitia kipeperushi na pakua kipeperushi za chao hili.