KILIMO CHA MBAAZI MUDA WA KATI
  • By NICHOLAUS.SHOKELA
  • Leaflets
Publication Year : 2022

Author(s) : Taasisi ya utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI)- Kituo cha Ilonga

Mbaazi ni zao la jamii ya mikunde, faida kubwa za zao hili ni:-chanzo cha viini lishe vya protini kwa binadamu na wanyama, huvumilia ukame, hurutubisha udongo na linaweza kuchanganywa na mazao mengine shambani kama vile mahindi na mtama. Ili kujipatia mazao mengi na bora ya mbaazi za muda wa kati , tafadhali zingatia maelezo yaliyomo kwenye kipeperushi hiki.