Ramani za Udongo
.Mimea huhitaji virutubisho 16 muhimu. Tatu kati ya hivyo — kaboni, hidrojeni, na oksijeni — hutolewa kutoka kwenye angahewa na maji ya udongo. Virutubisho vingine 13 ambavyo ni muhimu ni:
Nitrojeni, fosforasi, potasiamu, kalsiamu, magnesiamu, salfa, chuma, zinki, manga, shaba, boroni, molibdenamu, na klorini. Virutubisho hivi hutolewa kutoka kwenye madini ya udongo, mabaki ya viumbe hai kwenye udongo, au kwa kutumia mbolea za asili au za viwandani.
Maeneo ya Kijiografia ya Kilimo (Agro-Ecological Zones)
Taarifa Muhimu Kuhusu Afya ya Udongo Tanzania
Taarifa ya pH ya Udongo kwa Kanda:
Kilimanjaro | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Shinyanga | Simiyu | Mwanza |
Arusha | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Njombe | Rukwa | Katavi |
Taarifa ya Kaboni Hai (Organic Carbon) kwa Kanda:
Arusha | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kilimanjaro | Manyara | Singida |
Mara | Mbeya | Morogoro | Mwanza | Njombe | Rukwa | Shinyanga | Simiyu | Songwe |
Ufaa wa Mazao (Crop Suitability Information)
Kanda ya Kati DODOMA
SINGIDA
Kanda ya Mashariki PWANI
MOROGORO
TANGA
ZANZIBAR
Kanda ya Kaskazini ARUSHA
MANYARA
KILIMANJARO
Kanda ya Kusini LINDI
MTWARA
Kanda ya Magharibi KIGOMA
TABORA